Friday, June 6, 2014

Mwaka 1984 wabunge walipanda bus kwenda Bungeni Dodoma

Mwaka 1984 wabunge wakipanda bus kuelekea Bungeni Dodoma. Hawa walikuwa ni wabunge wa kweli. Hivi sasa bunge linatugharimu fedha nyingi kuliendesha. Na mijadala inayoendelea bungeni ni kichefuchefu kwa baadhi ya hoja zinazotolewa na wabunge. Kuna baadhi ya wabunge mahudhurio yao bungeni ni ya utata kama vile wanafunzi watoro mashuleni.

No comments: