Monday, June 9, 2014

Zawadi ya Mama Jembe na nyumba


Mama mzazi wa Bw. Kulwa Martin Kabata alikabidhi jembe ikiwa ishara ya kutegemea kilimo katika maisha hivyo kukabidhi mwanae shamba lake la Turiani (Dihombo) lililoko katika mkoa wa Morogoro  pia nyumba moja iliyopo Morogoro mjini.

No comments: