Monday, June 9, 2014

Madada harusi

Hawa waliinogesha usiku wa tarehe 7/6/2014 pale Safari Resort-Kimara Dar Es Salaam. Siku ya kuwapongeza Bw & Bibi Kulwa Martin Kabata kwa kufunga pingu za maisha.

No comments: