Monday, June 9, 2014

Meza ya wajomba


Tarehe 7/6/2014 meza ya wajomba pale Safari Resort-Kimara haikukaukiwa 'mbwali' au 'chisele.' Kutokana na hali hiyo, wajomba walizirudi sana Kwaitos kumpongeza mpwa wao Kulwa Marin kwa kufunga ndoa.

No comments: