Monday, June 16, 2014

Mazungumzo sebuleni

Huku maandalizi ya harusi yakiwa yanaendelea wageni waliendelea na mazungumzo picha ya chini Mama mdogo wa Sophy, Bi. Cesar Mloka akijadili neno na Wifi yake Nancy Banzi pamoja  huku dada yake Dr. Doreen Mloka akimsikiliza kwa makini

No comments: