Monday, June 9, 2014

Marara Makishe fundi wa majiko ya gesi




Marara Makishe ni mkazi wa kijiji cha Kisemvule, wilayani Mkuranga. Kijiji hiki hakipo mbali na Chuo cha Ualimu Vikindu kinapatikana kandokando ya barabara ya Kilwa kwenda Mikoa ya Mtwara na Lindi. Ukitaka kutengenezewa jiko kama hilo wasiliana na Banzi wa Moro.

No comments: