Monday, June 9, 2014

Ilifika wakati wakunyweshana champaigne

 Mume wangu, nakunywesha champaigne! Ndivyo anavyosema Sophia wakati alipokuwa akimnywesha mumewe Kulwa Martin Champaigne ya upendo kumbukumbu ya pendo lao la ndoa. Katika tafrija kabambe iliyofanyika jijini Dar ukumbi wa Safari Resort, Kimara tarehe 7/6/2014 - Jumamosi.


No comments: