Monday, June 2, 2014

Hapa ni stend ya mabus Korogwe

Ukisafiri na mabus ya Dar Express kwenda Arusha au Dar - hapa Korogwe  utapata chochote kitu kama si chakula basi zawadi hasa ya matunda mbalimbali.

No comments: