Monday, June 9, 2014

Mama,Bibi na mjomba wa Kulwa Martin ukumbini Safari Resort

Mama mzazi wa Martin Mama Veronica Kabata (kushoto) Bibi wa Martin Mama Rose Daulinge na mjomba wake Kulwa Bw. Donati Mpeka a.k.a. Pepe walikuwepo kwenye sherehe ya kumpongeza Kulwa Martin na mkewe kwenye ukumbi wa Safari Resort, Kimara jijini Dar Es Salaam.

No comments: