Monday, June 9, 2014

Wakwe zetu kutoka Moshi wakitoa mkono wa heri kwa maharusi

Bw &  Bi. Kulwa Marin Kabata wakipewa mkono wa pongezi na wazazi upande wa mke Bi. Sophia Mollel siku ya sherehe ya kuwapongeza kwa kufunga dnoa tarehe 7/6/2014 katika ukumbi wa Safari Resort jijini Dar Es Salaam

No comments: