Monday, June 9, 2014

Nimeotesha bamia

Ni kweli kuwa sasa mvua zimekatika na kipupwe kimeanza. Lakini kwa kuwa napenda kula bamia nimeamua kulipanda hivyo hivyo niko tayari kulipalilia.

No comments: