Friday, June 13, 2014

Viwanda kando ya barabara ya Morogoro

Hiki ni kwanda cha Wachina kilichopo Visiga. Wanatengeneza bidhaa gani mimi sijui ila moja ya bango lao limeandikwa 'HONEY KING' sasa sijui kama wanasindika asali au kitu kingine msiniulize zaidi mimi ni blogger tu lakini safari hii nimepata shauku ya kupiga picha jengo hili na kuliweka kwenye blog yangu.

No comments: