Wednesday, June 4, 2014

Tulime mapapai kitalamu yanalipa




Nimefahamishwa na wataalamu wa kilimo kuwa ukipanda mapapai unavuna baada ya miezi 9. Mpapai mmoja unaweza kutoa matunda zaidi  ya 15. Papai moja kubwa hapa Dar linauzwa hadi shilingi 2,000/= je papai haliwezi kukutoa kwenye umaskini? (Picha na Livingstone Mwedipando wa Arusha)

No comments: