Monday, June 9, 2014

MC akifungua champaigne kwa mbwembwe

Huyu ndiye MC aliyeendesha sherehe ya kuwapongeza Bibi na Bw. Kulwa Martin Kabata khwenye ukumbi wa Sfari Resort Kimara jijini Dar Es Salaam, tarehe 7/6/2014. Ni MC wa kileo zaidi, programmu yake haina nasaha kutoka kwa wazazi ya wazi ila ya kimya kimya huku waalikwa wakiburudika kwa muziki. Hakuna toss ya kugongena na maharusi kwa waalikwa wote. Tuligongeana  kielektroniki! Kwa  kweli binafsi nimempenda. (Anayefahamu jina la MC huyo naomba tafadhali tuwasiliane kwa simu au kupitia blog yangu  ya Banzi wa Moro)

No comments: