Monday, June 16, 2014

Bibi na mjukuu wake

Bibi Paulina Mloka (kushoto) na mjukuu wake Sophy Mluge (Bibi harusi) kulia ni shangazi wa Bibi harusi. Wakiwa wametulia tuli chumbani wakisubiri ibada ya ndoa.

No comments: