Friday, June 6, 2014

Hiyo ndiyo shule ya Msingi Machala-Bagamoyo

Hii ndiyo shule ya Msingi Machala iliyopo wilayani Bagamoyo nafikiri shule hii ni 'The chokiest' maana yake ni choka mbaya!

3 comments:

drngarawakessy said...

Hayo ndio maisha maisha..................................ye2
ya huku kw.......

drngarawakessy said...

inasikisha.Siku moja nilisafiri kwenda Zanzibar,niliona shule mfano kama hii, na walimu wawili tu nao walikua nawatu ambao hata kiakili wameshatoka hadi huruma namachozi yakinitoka

Innocent John Banzi said...

Dr. Kessy asante kwa kunisoma na comments. Unanipa moyo wa kuendelea na blog hii kwani napata feedback. Mambo kama haya yanasikitisha sana. Haiwezekani wengine wasome shule ambazo likizo wanarudishwa na ndege wakati wengine hata darasa ni shida!