Wednesday, June 4, 2014

Tufuge ng'ombe wa maziwa

Huhitaji sehemu kubwa kufuga ng'ombe wa maziwa kwa kukupatia maziwa pia kuongeza kipato chako. Ng'ombe wa maziwa hufugwa hata mijini ambako ardhi ni haba. Anza leo kufuga ng'ombe wa maziwa  uongeze kipato na lishe. Muone mtaalamu wa mifugo aliye karibu nawe kwa ushauri zaidi (Picha na Bw.Livingstone Mwedipando)

No comments: