Monday, June 16, 2014

Banzi wa Moro ndani ya sherehe Moro

Mjomba wa Sophy- IJBanzi  (aka-Banzi wa Moro) alikuwa mmoja wa wageni katika sherehe ya harusi ya Bi. Sophy Mluge iliyofanyika mjini Morogoro maeneo ya Tumbaku barabara ya kwenda Iringa tarehe 14/06/2014 siku ya Jumamosi.

No comments: