Friday, June 13, 2014

Chakula cha binadamu na wanyama kinatengenezwa hapa

Viwanda ni vingi kando ya barabara ya Morogoro. Kama hiki kinachotengeneza vyakula vya binadamu na wanyama. Vingine vinatengeneza nondo, vingine vinatotoa mayai  na vingine havijulikani vinazalisha nini hivyo vingi havilipi kodi na kulinyima taifa pato lake. Jicho la ziada linapaswa kutupiwa viwanda hivi.

No comments: