Monday, June 9, 2014

Zawadi kutoka kwa dada ni familia



Hakika, dada wa Bw. harusi, Bi. Nginamoyo Kabata (Mwl. Ndunguru) aliwakabidhi Bw & Bibi Kulwa Kabata zawadi ya familia ili waitunze. Hiyo ndiyo familia ya Kulwa Kabata kuanzia watoto  na wajukuu. Kazi kwako Mrs. Kulwa!

No comments: