Friday, June 13, 2014

Mabwawa ya samaki-Kibaha

Kando ya barabara ya Morogoro sehemu za Kibaha kuna mabwawa haya ya samaki na hivi sasa kuna jengo kando ya mabwawa hay nafikiri ni kwa jili ya biashara hiyo ya samaki. Huu ni ubunifu mzuri.

No comments: