Thursday, June 5, 2014

Mbinu za kuibia mitihani

Vikaratasi huwekwa mapajani-njia inaytumiwa na  wanafunzi wasichana

Formula zote ziko kwenye kucha

Majibu kuptia simu ya mkononi

Majibu pajani
Usishangae kupata wafanyakazi ambao hawajui taalamu zao wengine wamefaulu kwa kupitia njia hizi na nyinginezo nyingi kwa ujanjaujanja tu. (Picha kwa hisani ya kurasa za facebook za George Mandepo)

No comments: