Friday, June 13, 2014

Lyamungo Lodge -Morogoro

'Mteja kwetu mfalme' - Unapoingia chumbani juu ya meza umewekewa kanuni za Lyamungo Lodge iliyopo maeneo ya Msufuni karibu kabisa na msikiti wa Mahita mjini Morogoro. Lodge hii imejengwa imezinduliwa takrbani miaka miwili iliyopita ni nzuri na huduma ni za kuvutia. Wengi wetu huwa hatusomi kanuni za nyumba za wageni kuanzia sasa tusome kanuni. Hasa hii ya kufulia bafuni na kutumia vifaa vya umeme kama pasi!

No comments: