Friday, June 13, 2014

Kitu cha Kibaha

Hapa panatengenezwa kuwa mahali pa kumpuzika kwa abiria na wakazi wa Kibaha. Kitu hiki kiko kando ya barabara ya Morogoro. 'Simple but smart and attractive.' Tusubiri huduma.

No comments: