Monday, June 9, 2014

Vijana na Kwaito


Usiku wa furaha tarehe 7/6/2014 pale Safari Resort Kimara. Vijana waliacha meza na vinywaji  na kuzirudi Kwaito. Kisa, kuwapongeza Bibi na Bw. Kulwa Martin kwa kufunga ndoa.

No comments: