Monday, June 16, 2014

Zawadi kutoka Africana Group


Dada Vero na Cesar wakionyesha bidhaa ya Africana Group


Toleo la kanga kutoka Africana Group (Kibanda Kimoja)

Dada Barbara alifurahi kweli kweli

Wana Africana  wakitunza wanandoa zawadi kutoka Africana Group Dar
Africana Group kutoka Dar es Salaam ilifunga kazi pale ilipokabidhi zawadi za Africana kwa wanandoa  zikiwemo kanga  T-shirt n.k. Africana ilichukua  fursa hiyo kutangaza bidhaa zake ambazo ziko sokoni. Hiki ni kikundi cha wanandugu ukoo wa Wambiki na watoto wao akina Banzi wanaoshirikiana pamoja kujenga na kuimarisha udugu wao.