Monday, June 9, 2014

Kulwa akabidhi keki kwa wakwe kutoka Kilimanjaro

Kukabidhi keki kwa wakwe ina maana kubwa zaidi ya keki. Bw. Kulwa Martin Kabata akikabidhi keki kwa wakwe zake  kutoka KilImanjaro wakati wa tafrija ya kuwapongeza kwa kufunga ndoa mkewe Bi Sophia Mollel iliyofanyika katika ukumbi  wa  Safari Resort, Kimara Dar Es Salaam

No comments: