Monday, June 9, 2014

Bembea matengenezoni Kisemvule

Hii ni bembea ya kuzunguka ikiwa matengenezoni kijijini Kisemvule. Inafaa kwa matumizi ya watoto wa shule za mwanzo (chekechea). Ukihitaji wasiliana na Banzi wa Moro.

No comments: