Friday, May 30, 2014

Ibada ya makaburini- mazishi ya Bibi Nyausonzo-25/5/2014


















Safari ya mwisho ya Bibi Nyausonzo





Maandalizi ya mazishi ya bibi Nyausonzo kijijini Ngarambe

 Maandalizi ya maakuli kabla ya mazishi kijijini Ngarambe

 Wanawake wakiwa kwenye msiba wa bibi Nyausonzo kijijini Ngarambe
 Moody mjukuu wa marehemu Nyausonzo akiandaa chakula kabla ya mazishi
Hapa naongea na Makishe huku Baba Herieth akitabasamu

Banzi wa Moro Kijijini Ngarambe

 Nashangaa uoto wa asili jani kibichi kijijini Ngarambe
 Hiki ni kisima cha maji kijijini Ngarambe

Matukio mbalimbali mazishi ya Bibi Mwatumu Nyausonzo wa Ngarambe













Barabara ya kwenda kijijini Ngarambe haiko katika hali nzuri

Barabara ya kutoka Mkuranga mjini kuelekea Kisiju Pwani si nzuri sehemu nyingi ina mashimo mashimo hivyo kama ni gari ndogo huchukua muda mrefu kufika mahali unapokusudia. Barabara hii ndiyo inayotufikisha katika kijiji cha Ngarambe kwa mazishi ya Bibi Nyausonzo.

Gari iliyotupeleka mazikoni Ngarambe

Ilibidi kuwachukua ndugu wengine waliotusubiri pale Mkuranga ili tuweze kusafiri pamoja kwenye mazishi ya Bibi Nyausonzo huko Ngarambe.

Kuelekea mazikoni Ngarambe

Hapa ni Mkuranga njiapnada ya kwenda Ngarambe.Shemeji Waziri (kushoto) pamoja na dada yake Apendae  wanaelekea kupanda gari tulimokuwemo tayari kwa safari kuelekea mazikoni Ngarambe.

Tuko kijijini Ngarambe kwa mazishi ya Bibi Nyausonzo

Hapa ndipo kijijini Ngarambe kwa marehemu Bibi Nyausonzo

Ndugu wa Kisemvule majonzini

Baada ya kupata taarifa za kifo cha Bibi Nyausonzo wa Ngarambe ndugu walishikwa na majonzi.

Wajukuu na vitukuu safarini kwa mazishi ya Bibi Nyausonzo

Hawa wamebahatika kuzika Bibi Nyausonzo wa Ngarambe. Katikati ni kitukuu kushoto na kulia ni wajukuu.

Tunawasili kijijini Ngarambe kumzika Bibi Nyausonzo

Kijijini Ngarambe -kuzika Bibi Nyausonzo Jumapili 25/04/2014

Alama ya CCM bado ipo - UDOM

Hapa ndipo palipokuwa panaitwa Ukumbi wa CCM-Chimwaga, Dodoma. Nembo  ya CCM bado ipo lakini sasa ni moja ya kumbi kubwa kabisa Chuo Kikuu Dodoma.

Langu Kuu la UDOM

Hili ni lango la kuingilia na kutoka-Chuo Kikuu Dodoma