Tuesday, May 6, 2014

Akina mama waombolezaji kwenye msiba wa Kade

Akina mama waombolezaji wakiwa kwenye sura za huzuni  wakiomboleza kwenye msiba wa marehemu Laurent Alphonce Kadeng'uka Afisa Utafiti Kilimo Mkuu I  mara mwili wake ulipowasili nyumbani kwake - Kola, Morogoro tarehe 2/5/2014.

No comments: