Wednesday, May 14, 2014

Kilimo cha mazao utajiri wa Matombo

Kilimo cha mazao ni utajiri wa Matombo. Mazao ya aina mbalimbali hustawi kama vile viazi vitamu muhogo, migomba. Hivi kweli kuna mikakati ya kuinua kipato cha wananchi wanaoishi kwenye maeneo yao licha ya kuwa na mazingira mazuri ya uzalishaji?

No comments: