Tuesday, May 6, 2014

Waombolezaji nyumbani kwa Marehemu Laurent Kadeng'uka

Waombolezaji kutoka sehemu mbalimbali walifurika nyumbani kwa marehemu Kadeng'uka  huko Kola mijini Morogoro wakisubiri mwili wa marehemu kuwasili ukitokea jijini Dar es Salaam alikofariki.