Wednesday, May 14, 2014

Matatizo ya kilimo chetu

Umegundua nini katika picha hii? Tatizo kubwa ni kwamba mkulima ameotesha mahindi yake kiholela bila kufuata nafasi zinazotakiwa. Kwa mpando huu huwezi kuzalisha mahindi ya kutosha kwa eneo. Sehemu kubwa ya ardhi i wazi. Hapa ushauri wa kilimo bora hakuna. Haya niliyaona nikielekea Kikenge, Matombo, Morogoro kwa mazishi ya Ndugu yangu Laurent Kadeng'uka.

No comments: