Tuesday, May 6, 2014

Uzuri wa Matombo



Matombo ni kuzuri. Mazao mengi yanastawi. Hebu tazama picha hizo juu kuna minazi, machungwa, magimbi,pipili manga, migomba na mpunga. Matombo ni raha tupu!

No comments: