Tuesday, May 6, 2014

Kwa wanaotoka Kiswira Matombo

Unaweza kumtambua kijana huyu? Jina lake na ni mtoto wa nani. Taja babu yake au bibi yake wa Matombo, Kiswira unayemfahamu. Zawadi itatangazwa kwa mshindi!

2 comments:

mkazuzu said...

anaitwa ABBAS MLOKA

mkazuzu said...

.Hapo Ni Pale Stendi{kwenye Soko La Jumapili} Njia Ya Panda Yakwenda Konde, Tawa, Njia Inayotokea Mhangazi Kupitia Kwa Molandi Mwisho Na Inayopandisha Kupitia Dukani Kwa Mode, Kwa Mpangala Mpaka Matombo Sec Na Kanisani.