Friday, May 30, 2014

Public Transport kuelekea UDOM

Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi Chuo Kikuu Dodoma unapatikana kuanzia asubuhi na mapema hadi saa 3.00 usiku. Usafiri mzuri na barabara ni nzuri sana.

No comments: