Friday, May 30, 2014

Barabara ya kwenda kijijini Ngarambe haiko katika hali nzuri

Barabara ya kutoka Mkuranga mjini kuelekea Kisiju Pwani si nzuri sehemu nyingi ina mashimo mashimo hivyo kama ni gari ndogo huchukua muda mrefu kufika mahali unapokusudia. Barabara hii ndiyo inayotufikisha katika kijiji cha Ngarambe kwa mazishi ya Bibi Nyausonzo.

No comments: