Friday, May 30, 2014

Kampeni za Uongozi UDOM

Nilipotembelea UDOM  mwanzoni mwa mwezi mei 2014 kampeni za uongozi katika ngazi mbalimbali zilikuwa zinaendelea hapo chuoni. Pichani wagombea wakijinadi kwa staili ya pekee na kwa gharama.Si sjangai nikiwasikia wabunge vijana wakija na hoja kali bungeni tusiwabeze wanauzoefu wa uongozi hao pamoja na kampeni vilevile!

No comments: