Tuesday, May 6, 2014

Duka langu kijijini

Hili ni duka la Bw. Mode. Duka langu la kijini Kiswira, Matombo Morogoro. Sina haja ya kubeba sukari,unga,sabuni, dawa ya mswaki, kandambili hata zawadi za vitenge na kahanga ninaposafiri kwenda kijini kila kitu hununua kwenye duka hili.

No comments: