Wednesday, May 14, 2014

Vijana waliofanikisha kufikisha jeneza la Kade kijijini Kikenge

Hawa ndiyo vijana wakazi waliobeba jeneza la marehemu ndugu yangu Kadeng'uka hadi kijijini Kikenge-Matombo,Morogoro tayari kwa mazishi tarehe 2/5/2014 siku ya Jumamosi

No comments: