Friday, May 30, 2014

Barabara ya kwenda UDOM bila msongamano

Hii ni barabara ya kwenda Chuo Kikuu Dodoma, haina msongamano na ni safi. Ni vizuri ikatunzwa na kubaki katika ubora wake.

No comments: