Wednesday, May 14, 2014

Tulipovuka kijito cha Chamazi-Matombo

Matombo maji yatiririko kutoka milimani.Angalia uoto mzuri. Hapa hakuna tatizo la maji. Ilibidi kuvuka kijito hiki kufika kijiji alichozaliwa marehemu Laurent Alphonce Kadeng'uka.

1 comment:

drngarawakessy said...

mimi ni Mtz>m2 asiniambie nchi yangu niyakimasikini