Thursday, May 29, 2014

Chiriku tunduni

Wakati wa Bunge la bajeti mjini Dodoma ni vigumu kupata nafasi ya kulala wageni. Mwaka huu tulifika hapa kutafuta vyumba na tukakosa. Nilichobahatika ni kupata picha ya chiriku huyu akiwa tunduni kwenye mapokezi ya nyumba ya kulala wageni (jina nimesahau)

No comments: