Wednesday, May 14, 2014

Kikenge-Matombo Morogoro mazao mchanganyiko

Hapa ni Kikenge, Matombo Morogoro. Wakulima wanapanda mazao mchangayiko. Mahindi, mpunga , michungwa na minazi kwenye shamba moja. Sina uhakika kama kuna bwanashamba kwenye kijiji hiki. Kijiji kina rutuba ya kutosha, mazao mengi hustawi na maji yako ya kutosha tatizo wakulima wanakosa ushauri wa kulima mazao hayo kwa kutumia teknolojia za kisasa na kuongeza uzalishaji pamoja na tija hivyo kuwaongezea kipato chao.

No comments: