Tuesday, May 6, 2014

Waombolezaji msiba wa Kadeng'uka wakikaribishwa nyumbani kwa marehemu

Msemaji wa familia ya akina Kadeng'uka (shati la bluu) na mwenyekiti wa Jumuiya aliyokuwa akisali marehemu Laurent Alphonce Kadeng'uka aliyeshika kifua  wakisali na kuwakaribisha waombolezaji nyumbani kwa marehemu - Kola, Morogoro.

No comments: