Tarehe 1/2/2014. Jumuiya ya Mt. Joseph ya Parokia ya Vikindu iliitembelea familia ya Bw. Charles Semgalawe wa Kisemvule kwa lengo la kusali pamoja na pia kumpa pole baada ya kuvamiwa na majambazi. Pichani mmoja wa wana Jumuiya Bi Josephine Mutahangarwa (a.k.a Bibi Jeshi) akikaribishwa na mwenyeji wake Mzee Semgalawe.
No comments:
Post a Comment