Thursday, January 21, 2016

Karafuu kijijini Konde-Matombo-Morogoro

Pengine wengi wetu tunafikiri kuwa Karafuu inastawi visiwani Pemba na Unguja tu. Hapana, huko Morogoro vijijini katika kijiji cha Konde tarafa ya Matombo, karafuu hustawi pia. Hii ni karafuu iliyooteshwa kijijini hapo. Wakulima wa Konde wameanza kufaidika na kilimo cha karafuu na kubadili maisha yao kutokana na kilimo cha zao hilo.

2 comments:

Unknown said...

Naomba namba zako tuwasiliane

Fred said...

Wewe ukiwa kama Agromist kwa nini usifanye jitihada za kuwapeleka SUA kusaidia tafiti za zao la hiyo karafuuu ili ziwe na ubora na hata ukaushaji wa usahihi