Thursday, January 21, 2016

Mtafiti Abubakar Mzandah akiwa shambani

Watafiti wa Kilimo nchini Tanzania wanaendelea kutoa mchango mkubwa katika kuinua kilimo nchini kwa kugundua teknolojia mbalimbali za kilimo zinazotumika katika kuleta tija. Pichani Mtafiti Abubakar Mzandah  kutoka kituo cha Utafiti Ilonga akiwa shambani.

1 comment:

Unknown said...

Kaka mkubwa hii picha uliitoa wapi? Hahahahahhaaaa...Ahsante kwa kunipost ingawa sikuwahi kuiona hii picha hadi leo hii