Friday, June 7, 2013

Hii ndiyo CARMEL CONVENT PRE AND PRIMARY SCHOOL - VIKINDU,MKURANGA

Shule ya Awali na Msingi (English Medium) inayomilikiwa na Kanisa Katoliki na kusimamiwa na Masista wa Shirika la Carmel limeanza imeanza kupata sifa kwa kiwango cha elimu inayotoa,nidhamu,vifaa pamoja na vyombo vya usafiri. Kwa mara ya kwanza mwaka huu wanatarajia kutoa wahitimu wa darasa la saba.

11 comments:

Unknown said...

Ada kwa mwaka TSH ngapi?

Mrs mbilambi said...

Contact zenu tafadhali nimejitahid kutafuta nahitaj as soon as possible

Unknown said...

Zahoro ismail

Unknown said...

Mawasiliano plise

Unknown said...

Nahitaji kujua ada ya mwanafunzi wa darasa la awali no kiasi gani kwa mwaka?

awamihassan@gmail.com said...

Namba zenu tafadhar

Unknown said...

Mawasiliano tafadhali tunaomba number zenu

Unknown said...

Ada kwa mwaka sh ngap

Unknown said...

Hbr naomba kupata mawasiliano yenu tafadhal

Unknown said...

Naomba namba zenu haraka iwezakanavyo

Joseph Omung'ala said...

Hi,i am a teacher from Kenya.i currently reside in Chamazi.i teach Maths English and science amd am registered by TSC.kindly consider me for a teaching vacancy if any.thanks in advance