Friday, June 7, 2013

Waliopata kuingoza Kilimo-Uyole

Kuanzia Uyole Agricultural Centre (UAC)hadi sasa mfumo wa Kanda Uyole imeongozwa na viongozi mbalimbali.Kiongozi wa sasa ni Mkurugenzi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Dr.Zacharia Malley. Bango linaonyesha viongozi waliopata kuiongoza Kilimo-Uyole.

2 comments:

Unknown said...

Naomba mawasiliano ya Dr. Zacharia Malley

Innocent John Banzi said...

Mr. Omari Mshihiri, napata faraja kwa kupitia blog hii ya Banzi wa Moro. e-mail ya Malley ni malley.zacharia@gmail.com simu yake ni 0787261002